Sehemu ya Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Uchukuzi wakisikiliza wasilisho la Bajeti lililofanywa na Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa Bungeni jijini Dodoma 6 Mei 2024.
Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi David Kihenzile wakipongezwa na Mawaziri, Manaibu Waziri na Wabunge mara baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara jijini Dodoma 6 Mei 2024
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile akifafanua jambo wakati akijibu hoja za Wabunge wakati wa wasilisho la hotuba ya bajeti ya wizara hiyo Bungeni jijini Dodoma 7 Mei 2024.
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akifafanua jambo wakati alipowasilisha hotuba ya bajeti ya wizara hiyo Bungeni jijini Dodoma 7 Mei 2024.
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile akifafanua jambo wakati alipokutana na Menejimenti ya Mamlaka ya Usafiri Ardhini Tanzania (LATRA), jijini Dar es Salaam.